30.1 C
Dar es Salaam
Saturday, June 15, 2024

Contact us: [email protected]

Kanye West azuia mkanda wa ngono sokoni

kanye-west-vmas1NEW YORK, MAREKANI

MSANII wa hip hop nchini Marekani,

NEW YORK, MAREKANI

MSANII wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, ametumia kiasi cha dola milioni 130, kwa ajili ya kuzuia mkanda wa ngono wenye picha zinazofanana na mke wake usiingie sokoni.

Mtandao wa US, umeripoti kwamba, msanii huyo aliamua kufanya hivyo kwa kuwa ndani ya filamu hiyo kuna mrembo anafanana na mke wake, Kim Kardashian.

Kutokana na hali hiyo, Kanye akaona bora atumie fedha hizo ili kuweza kuizuia filamu hiyo isitoke kwa kuwa itachafua jina lake na la mke wake ingawa hajashiriki.

“Nimeona bora nifanye hivyo kwa kupunguza maneno ambayo yangejitokeza, ni filamu ambayo ina mambo mengi ndani yake, lakini inaweza kuharibu mwonekano wa familia yetu japokuwa hakuna mhusika ndani yetu,” alisema Kanye.

, ametumia kiasi cha dola milioni 130, kwa ajili ya kuzuia mkanda wa ngono wenye picha zinazofanana na mke wake usiingie sokoni.

Mtandao wa US, umeripoti kwamba, msanii huyo aliamua kufanya hivyo kwa kuwa ndani ya filamu hiyo kuna mrembo anafanana na mke wake, Kim Kardashian.

Kutokana na hali hiyo, Kanye akaona bora atumie fedha hizo ili kuweza kuizuia filamu hiyo isitoke kwa kuwa itachafua jina lake na la mke wake ingawa hajashiriki.

“Nimeona bora nifanye hivyo kwa kupunguza maneno ambayo yangejitokeza, ni filamu ambayo ina mambo mengi ndani yake, lakini inaweza kuharibu mwonekano wa familia yetu japokuwa hakuna mhusika ndani yetu,” alisema Kanye.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles