24.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, March 29, 2023

Contact us: [email protected]

Dawa za kulevya zampeleka Harris jela miaka nane

Mendeecees Harris (2)NEW YORK, MAREKANI

MKALI wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Mendeces Harris, amepelekwa jela miaka nane kutokana na kesi ya dawa ya kulevya.

Msanii huyo mwenye umri wa miaka 37, awali alikamatwa na dawa mwaka 2011, akiwa na gari aina ya Audi R8 yenye thamani ya dola 111,000, lakini inasemekana kuwa kesi hiyo ilimalizika kwa kulipa kiasi cha dola 171,000.

Msanii huyo ameonekana kuwa mtu wa matukio tangu mwaka 2005, 2006, 2008 na 2012, hivyo kwa sasa ametakiwa atumikie kifungo hicho akiwa gerezani.

Familia ya msanii huyo imesema, kijana wao amekuwa na matatizo mengi lakini wamepinga ukubwa wa adhabu hiyo.

 

 

 

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
211,259FollowersFollow
564,000SubscribersSubscribe

Latest Articles