24.2 C
Dar es Salaam
Friday, April 19, 2024

Contact us: [email protected]

Kansa yapoteza maisha ya Bowie

davidLOS ANGELES, MAREKANI

MSANII wa muziki nchini Uingereza, David Bowie, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 69, baada ya kusumbuliwa kwa ugonjwa wa kansa.

Bowie ambaye alikuwa anafanya muziki na filamu alikuwa anasumbuliwa na kansa kwa kipindi kirefu, hata hivyo wiki iliyopita alisherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa hospitali kabla ya kupatwa na umauti.

Kampuni ya filamu ya Hollywood ya nchini Marekani, imethibitisha kutokea kwa kifo cha msanii huyo kupitia akaunti yao ya Facebook.

“David Bowie amefariki baada ya kupigania maisha yake kwa mwaka mmoja na nusu kutokana na kusumbuliwa na utgonjwa wa kansa, tunamtakia apumzike kwa amani na tunaipa pole familia yake hasa katika kipindi hiki
kigumu,” waliandika kupitia mtandao huo.

Msanii huyo amefariki huku akiwa tayari ameachia jumla ya albamu 25, huku akitamba na nyimbo zake kama vile ‘Space Oddity,

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles