22.3 C
Dar es Salaam
Wednesday, May 22, 2024

Contact us: [email protected]

Kabula atulizwa na mpenzi wake

jini kabulaNA RHOBI CHACHA

BAADA ya kuachana na mwanamuziki Ruta Bushoke ‘Bushoke’, mwigizaji wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ameibuka na kudai kwamba mpenzi wake mpya hataki aende kwenye kumbi za starehe.

Kabula bila kumtaja mpenzi wake huyo mpya, alidai kwamba amekatazwa na hatakiwi kuzungumzia habari za kwenda kwenye kumbi za starehe.

“Nimeamua kupunguza kwenda kwenye kumbi za starehe kwa sababu niko bize na mpenzi wangu na pia kwa sasa naandika filamu na nyimbo kwa ajili ya mradi wangu mpya wa hivi karibuni,’’ alisema Kabula.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles