24.2 C
Dar es Salaam
Monday, April 15, 2024

Contact us: [email protected]

JUX: SIJAFIKIRIA KUFANYA ALBAMU NA VANESSA

NA BRIGHITER MASAKI-DAR ES SALAAM


STAA wa Bongo Fleva, Juma Mussa ‘Jux’, ameweka wazi kuwa bado hajafikiria kufanya albamu ya pamoja na mpenzi wake, Vanessa Mdee ‘Vee Money’.

Wawili hao wamewahi kufanya wimbo pamoja unaojulikana kwa jina la ‘Juu’, lakini Jux amesema hawajawahi kukaa chini ya kujadili suala hilo.

“Tumekuwa tukifanya kazi pamoja, kuna baadhi ya nyimbo tumeziandaa, lakini bado hatajupanga suala la kufanya albamu pamoja.

“Mara nyingi tumekuwa pamoja, ninaamini kama uongozi wangu na ule wa Vanessa utakaa pamoja na kuliona hilo, tunaweza kufanya hivyo kwa kuwa mbali na uhusiano wetu kikubwa tunachoangalia ni kazi, ila kwa sasa bado,” alisema Jux.

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles