23.6 C
Dar es Salaam
Saturday, May 18, 2024

Contact us: [email protected]

Jukwaa La Kasino 22BET

Utangulizi

Ziada,mandhari ya kuvutia na tete za michezo ni mambo yanayowavutia wachezaji kwenye kasino. Haya yote tumezingatia hapa katika tovuti yetu ya 22BET. Kampuni hii inamilikiwa na Marikit Holdings LTD na imepewa kibali cha kufanyia kazi na kutoa hela halisi kwa washindi na serikali ya Curacao. Usiridhike kusoma tu ijaribu mwenyewe pata karibu bonus kwa 22bet TZ ujionee.

Wazi na Salama

Hapa tunakuhakikishia usalama wa data yako. Tunatumia teknolojia bora zaidi ya kisasa na iliyoidhinishwa kulinda data yako binafsi na ya kifedha.Tete zetu pia hukaguliwa mara kwa mara kuhakikisha kuwa unapata vijumlishi sawa na wengine ukishiriki aidha sloti au kamari nyingine.

Viteuzi Chungu Nzima

Kati ya vivutio vikuu tulivyonavyo ni sloti za mtandaoni,kasino mbashara, poka, blackjack, kamari ya gololi na mingineyo. Michezo iliyo katika viteuzi hivi ni kama vile Wild seas, European Roulette, American Roulette, Deuces Wild, Soccer safari na mingineyo. Kutokana na wingi wake tunakupa nafasi ya kujitosa kwenye mandhari yanayokupendeza zaidi kupitia kwa michezo hii.

Wahudumu Tajika

Michezo yetu yote imetengenezwa na watoa huduma wanaotambulika kwa umahiri wao ili kukupa wakati bora zaidi unaposhiriki. Wahudumu waliobobea kama Betsoft, Microgaming,ZEUS Play, Mr Sloty, ELK Studios na wengine zaidi ya dazeni wamo humu.

Ziada za Kuvutia

Kwa wachezaji wapya na wazoefu kuna ziada kemkem. Kitengo cha tuzo kuu kina zaidi ya nafasi 400 za kushindaniwa. Michezo mingi hutoa vitita vya wastani katika tuzo tuzo mara kwa mara na mshindi anaweza kuwa ni wewe. Kunayo pia michezo michache ambayo hutoa donge nono katika tuzo kuu na una nafasi ya kuwa mmoja wa washindi.

Mashindano ya Juma

Kila juma katika 22BET tunakupa nafasi ya kujitosa katika mashindano ya sloti kwa kila mchezaji aliyesajiliwa. Baada ya kujiunga na mashindano, unazoa alama kila unapocheza sloti ukitumia pesa halisi kwa kiasi cha TZS 2,319 kwa kila alama 100. Mwishoni mwa juma, wachezaji 30 wenye alama za juu zaidi wanagawana kutoka kitita cha TZS 6,957,000.

Malipo

Kuweka Dau

Tunakubali washiriki kutumia aidha hela za crypto au za kawaida kuweka dau.Waweza kutumia mitambo mingi ya  malipo ikiwemo malipo ya kidijitali, kadi za benki, kutumua kutoka kwa benki moja kwa moja au hata pochi za mtandaoni.

Kutoa Ushindi

Njia zinazokubalika kufanya malipo ni zaidi ya arubaini ukitumia hata Shilingi ya Tanzania. Malipo ya ushindi yanatolewa hata kwa machache kama Tsh 1500. Hivi hata ukipata ushindi mdogo unaweza kuzipata hela zako mara moja.

Muda wa Malipo

Unapoweka dau akaunti yako hufikiwa bila kusita na kukuruhusu kushiriki. Unapotoa hela kwa mara ya kwanza itakuchukua hadi masaa ishirini na manne kisha malipo yafuatayo huchukua aghalabu saa moja kukufika iwapo maarifa yako yamejazwa vifaavyo.

Yanayopendeza na Yasiyoridhisha katika kasino ya 22BET

Yanayopendeza

  • Njia nyingi za kuweka na kutolea hela.
  • Ziada za mara mbili kwa juma.

Yasiyoridhisha

  • Michezo ya soka imetiliwa uzani kuliko kasino.

Hitimisho

Kama mandahri ya kuvutia na mashindano kila juma hukupendeza basi hapa 22Bet ni nyumbani. Kasino mbashara na ziada lukuki zitakuzidishia nfasi zako za ushindi. Huna budi ila kushiriki upate msisimko wa ushindi.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Je kuna mchezo wa majaribio katika kasino ya 22BET?

Ndio.Unaweza ukashiriki katika mchezo wa majaribio bila kutoa hela halisi.

Naweza kushiriki kasino mbashara bila kuweka hela?

La. Itakulazimu kuwa na amana ili kushiriki kasino mbashara.

Vipengele vya programmu ya 22BET ni sawa na vilivyo katika tovuti?

Ndio. Huduma zitolewazo katika tovuti ya 22BET hazitofautiani na zilizo katika programu ya rununu.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles