28.4 C
Dar es Salaam
Thursday, February 22, 2024

Contact us: [email protected]

JPM amemteua Onorius Njole kuwa Mwandishi Mkuu wa Sheria

Na Mwandishi Wetu

Rais Dk. John Magufuli amemteua Onorius Njole kuwa Mwandishi Mkuu wa Sheria (CPD)

Taarifa kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu iliyotolewa leo, imesema kuwa uteuzi wa Onorius unaanza leo Mei 23 mwaka huu.

Kabla ya uteuzi huo Njole alikuwa Mkurugenzi wa Sheria na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA).

Aidha taarifa hiyo imeeleza kuwa Njole amechukua nafasi ya Sara Barahomoka ambaye amestaafu.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles