22.1 C
Dar es Salaam
Monday, July 22, 2024

Contact us: [email protected]

Waziri Mkuu: Serikali inapitia tozo za pembejeo

Ramadhan Hassan – Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali ina taarifa ya kuwepo kwa tozo nyingi za pembejeo kwa wakulima na wafanyabishara hivyo inapitia tozo zote na kuona nini cha kufanya.

Majaliwa ametoa kauli hiyo bungeni leo Mei 23 wakati akijibu maswali ya papo kwa papo ambapo alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Nsimbo Richard Mbogo (CCM) ambaye alitaka kujua serikali ina mkakati gani wa kutatua migogoro ya ardhi iliyopo hivi sasa.

Akijibu swali hilo Majaliwa amesema serikali ina taarifa ya kuwepo kwa tozo nyingi za pembejeo kwa wakulima na wafanyabishara hivyo inapitia tozo zote na kuona nini cha kufanya na kwamba itaendelea kutatua migogoro ya ardhi nchini ndio maana iliunda timu ya mawaziri nane kupita maeneo yote yenye migogoro ya ardhi.

“Kiitifaki ni lazima tume hiyo itaenda kutoa taarifa yake kwa Rais na kama akiona inamfaa itawashirikisha wabunge,”amesema.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles