25.2 C
Dar es Salaam
Friday, September 17, 2021

Jose Mara: Mwanamuziki wa bendi na vyombo vyake

jose maraNA MWANDISHI WETU
MWANAMUZIKI Jose Mara amefunguka kwamba mwanamuziki wa bendi anatakiwa kumiliki vyombo vyake vya muziki badala ya kutumia vyombo vya watu wengine.
Majigambo hayo aliyatoa katika ukurasa wake wa facebook, akiambatanisha na picha iliyoonyesha vyombo vyake vipya vya muziki.
Mwanamuziki huyo aliandika maneno haya katika ukurasa wake wa facebook; “Mwanamuziki wa bendi na vyombo vyake vya muziki, sio mwanamuziki na vyombo vya watu vya muziki. Nakushukuru Mwenyezi kwani wajua jinsi ninavyohangaika…na bado muziki naudai,’’ alimaliza.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
156,567FollowersFollow
517,000SubscribersSubscribe

Latest Articles