22.5 C
Dar es Salaam
Sunday, July 21, 2024

Contact us: [email protected]

Jonathan Budju aibuka upya na ‘You Are So Good’

QUEBEC, CANADA

BAADA ya kufanya vizuri na ngoma yake, Only You God, staa wa gospel nchini Canada, Jonathan Budju amerudi kivingine na video ya wimbo You Are So Good.

Akizungumzia wimbo huo, Jonathan amesema unauelezea uzuri wa Mungu kwa maisha ya mwanadamu hivyo kila mwenye pumzi anapaswa kumsifu na kumshukuru Mungu.

“Video imeongozwa na director wangu PeeZee, natamani kila mmoja anaitazame hii video na kusikiliza ujumbe wa wimbo huu (You Are So Good) ili abarikiwe, video tayari ipo kwenye chaneli yangu ya YouTube,” amesema Jonathan Budju ambaye anasimamia taasisi ya JB Foundation inayosaidia jamii ndani na nje ya Kongo DRC.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles