31.9 C
Dar es Salaam
Monday, December 5, 2022

Contact us: [email protected]

JK kuteta na Watanzania Marekani

Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kukutana na Watanzania waishio nchini Marekani Agosti 2, mwaka huu.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Leberata Mulamula, aliwataka Watanzania wote kuhakikisha wanahudhuria mkutano huo.

“Ninapenda kuwaalika Watanzania wote wa maeneo ya DMV pamoja na majimbo mengine ya hapa nchini Marekani kuhudhuria mkutano maalumu wa Rais Jakaya Kikwete Agosti 2, mwaka huu Washington DC,” alisema Balozi Mulamula katika taarifa yake.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
205,586FollowersFollow
558,000SubscribersSubscribe

Latest Articles