24 C
Dar es Salaam
Sunday, May 19, 2024

Contact us: [email protected]

Jenipher Mgendi: Nitaigiza na Wema kama stori itakuwa ya Biblia

Jennifer-MICNA THERESIA GASPER

MWIMBAJI wa nyimbo za injili nchini, Jenipher Mgendi, amefunguka kuwa hawezi kuigiza filamu za kibongo endapo hazitakuwa na uhusiano na maandiko matakatifu ya Mungu.

Akizungumza hivi karibuni alipotembelea Ofisi za New Habari (2006) Ltd, Jenipher alisema kuigiza filamu ya kidunia haina tatizo kwake lakini lazima iwe inahusisha Biblia ndani yake.

“Naweza nikaigiza na kina Wema Sepetu lakini kama watakuwa wanafanya mambo bila kumuingiza Mungu sitaweza, ila kama watahusisha dini nitaigiza nao bila tatizo,” alisema.

Filamu ya Jenipher aliyowahi kuigiza ni ‘Nalia’, ambayo ilimtangaza vema katika uigizaji wa filamu za kibongo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles