28.7 C
Dar es Salaam
Sunday, November 28, 2021

Jay -Z atikisa instagm

MWANAMUZIKI maarufu nchini Marekani, Shawn Corey Carter ‘Jay -Z’, amekuwa gumzo baada ya kujiunga na mtandao wa instagram kwa mara ya kwanza leo Novemba 3,2021 na kupata wafuasi ‘followers’ zaidi ya milioni moja ndani ya muda mfupi.

Mtu pekee ambaye Jay Z amemfollow ni mke wake Beyonce na ameweka post moja katika akaunti hiyo ambayo ni ‘cover’ la filamu ya Netflix inayoitwa The Harder They Fall ambayo yeye ni ‘producer’ mwenza.

Gumzo kubwa katika mitandao ni kwamba, Rappa huyo anaweza kuweka rekodi ya kuwa na followers wengi zaidi ya mastaa wengine?

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
167,186FollowersFollow
526,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles