24.4 C
Dar es Salaam
Thursday, October 31, 2024

Contact us: [email protected]

Jaden Smith awa mpiga picha

Jaden Smith
Jaden Smith

NEW YORK, MAREKANI

MKALI wa filamu na muziki nchini Marekani, Jaden Smith, ameamua kuwa mpiga picha kwenye shoo mbalimbali za dada yake, Willow Smith.

Msanii huyo ambaye alitamba na filamu yake ya ‘Karate Kid’, amedai kupiga picha ni miongoni mwa vitu ambavyo alikuwa anavipenda pamoja na kuwa DJ wa muziki.

“Tangu nikiwa mdogo nilikuwa napenda kuwa mpiga picha pamoja na DJ, hivyo nikipata nafasi ya kufanya hivyo ninajisikia furaha sana, umri wangu natakiwa kujifunza mengi kwa ajili ya watoto wengine wafanye hivyo.

“Hakuna ambaye alitarajia kama nitakuja kufanya hivyo, lakini ni vizuri kwa kuwa vijana wa sasa wanatakiwa kubadilika mara kwa mara kutokana na mazingira.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles