29.8 C
Dar es Salaam
Sunday, September 15, 2024

Contact us: [email protected]

Kylie, Tyga waonekana kwa mara ya kwanza

Tyga akiwa na mpenzi wake Kylie
Tyga akiwa na mpenzi wake Kylie

Los Angeles, Marekani

BAADA ya kuachana kwa miezi mitatu iliopita, rapa Tyga na mpenzi wake Kylie Jenner, wameonekana kwa mara ya kwanza tangu kuenea kwa taarifa kwamba wamemaliza tofauti zao.

Wiki tatu zilizopita kuna taarifa zilienea kwenye mitandao ya kijamii kwamba wawili hao wamemaliza tofauti zao licha ya kila mmoja kuonekana kuwa na mpenzi mpya baada ya kuachana.

Kupitia akaunti ya Instagram, Tyga aliweka picha mbalimbali akionesha kuwa alikuwa pamoja na mrembo huyo mwishoni mwa wiki katika jiji la Los Angeles.

Hata hivyo, rapa huyo aliandika, “Sisi, tupo sawa, Mr na Mrs, nadhani tunafaa kuwa pamoja na tutaendelea kuwa pamoja kwa kuwa ananipenda na mimi ninampenda,” aliandika Tyga.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles