28 C
Dar es Salaam
Friday, February 23, 2024

Contact us: [email protected]

Izzo Business kuwakutanisha Gnako, Mwana FA

G-NakoBAADA ya kufanya vizuri katika wimbo wa ‘Mfalme’ ulioimbwa na Hamis Mwijuma ‘Mwana FA’ na George Mdemu ‘G Nako’, msanii Emanuel Simwinga ‘Izzo Busness’ amewakutanisha tena wasanii hao katika wimbo wake mpya aliouita ‘Shemu Lake’.

“Nimeshafanya nyimbo za kuelimisha na kuhamasisha, lakini wimbo huu utawashangaza wengi kwa maudhui yake ambayo nataka iwe ‘surprise’ kwa mashabiki,” alisema Izzo Business.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles