26.7 C
Dar es Salaam
Monday, March 4, 2024

Contact us: [email protected]

Israel: Mbunge ajiuzulu baada yakukosolewa kwa kuhudhuria ndoa ya wapenzi wa jinsia moja

Mbunge mmoja nchini Israel amejiuzulu baada ya kukosolewa na vingozi wa dini kwa kuhudhuria ndoa ya wapenzi wa jinsia ya mpwa wake.

Mbunge huyo Yigal Guetta, alifichua wakati wa mahojiano ya radio siku ya Jumapili kuwa alihudhuria harusi hiyo miaka miwili iliyopita.

Alisema kuwa licha ya ndoa ya njinsia kuwa kimyume na imani yake ya dini alitaka kumfurahisha mpwa wake.
Lakini viongozi watano wa dini walimkosoa Guetta kwa kuhujumu jina la Mungu na kutaka chama chake cha Shas kumfuta.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
584,000SubscribersSubscribe

Latest Articles