30.2 C
Dar es Salaam
Sunday, September 19, 2021

Harmonize kuachia albamu ya pili

 BRIGHITER MASAK I-DAR ES SALAAM 

MSANII wa bongo fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ ametangaza ujio wa albamu yake ya pili ambaye amaipa jina la High School. 

Msanii huyo ambaye ni mmiliki wa kundi la Konde Music World Wide, amesema nyimbo zote kwenye albamu hiyo zimeimbwa kwa lugha ya Kiingereza. 

Albamu ya kwanza ya msanii huyo inayojulikana kwa jina la Afro East, alizinduliwa Machi 14 mwaka huu kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es salaam. 

Album hiyo imekuwa na mafanikio makubwa kwake ambapo ndani yake aliwashirikisha wasanii nguli kama vile Lady Jaydee, Mr. Blue na msanii kutoka nchini Nigeria, Burna Boy. 

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
156,848FollowersFollow
518,000SubscribersSubscribe

Latest Articles