27.1 C
Dar es Salaam
Thursday, January 2, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Ghana yaitaka UN kuongoza uchunguzi wa mauaji ya Khashoggi

Acra, Ghana



Bunge la Ghana limeitaka Umoja wa Mataifa (UN) kuongoza uchunguzi juu ya mauaji ya mwandishi wa habari wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi.

Kifo cha Khashoggi, ambacho kimeripotiwa kilitokea katika ubalozi wa Saudi Arabia, nchini Uturuki, kimehusisha watu kadhaa, taasisi na nchi duniani kote.

Mnamo Oktoba 2, alitembelea ubalozi wa Saudi Arabia, huko Istanbul, na hajaonekana tangu hapo.

Misri na Somalia, ni nchi pekee za Kiafrika ambazo zimesisitiza hatua zilizochukuliwa na Saudi Arabia, kuchunguza kesi hiyo.

Wakati wito wa uchunguzi usio na upendeleo juu ya mauaji ya Khashoggi, msemaji wa bunge la Ghana, Profesa Aaron Michael Oquaye, aliomba Umoja wa Mataifa na mashirika mengine ya kimataifa kuchukua nafasi katika tukio hilo.

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles