29.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, April 24, 2024

Contact us: [email protected]

GEOEGE WEAH ANUSA URAIS

MONROVIA, LIBERIA

MAOFISA wa Uchaguzi wa Liberia jana walianza zoezi la  kujumuisha kura kutokana na uchaguzi wa marudio  uliofanyika juzi, huku wananchi wa Waliberia wakisubiri matokeo ambayo yataashiria uhamishaji wa kwanza wa madaraka baina ya serikali zilizochaguliwa kidemokrasia.

Wakati kambi ya mchezaji nyota wa zamani wa kimataifa George Weah ikitangaza kushinda, wasimamizi wa uchaguzi katika uwanja wa mpira wa miguu nje ya mji mkuu wa Monrovia, walianza kujumuisha kura kutoka kaunti 15 za nchi hiyo, baada ya uchaguzi huo wa marudio baina ya Weah na Makamu wa Rais, Joseph Boakai.

Kambi ya Weah ilidai kwa kutumia majumuisho yake yenyewe kutoka vituo vya kupiga kura ilishinda kwa karibu asilimia 70 ya kura.

Aidha matokeo yasiyo rasmi yaliyotangazwa kutoka vituo vya redio yalionesha pia Weah alikuwa akiongoza huku kambi ya Boakai hasa katika ngome yake ya kaskazini mwa nchi nayo ikidai kuongoza.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewataka ……..

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya MTANZANIA.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles