33.9 C
Dar es Salaam
Tuesday, February 27, 2024

Contact us: [email protected]

Furahia promosheni mpya msimu huu wa pasaka ukiwa na Meridianbet!

Sloti ya Mega Bunny Hyperways Katika Ubora Wake.

Shindano Kabambe la Pasaka.

Msimu huu wa Pasaka unanogeshwa kwa shindano la kukata na shoka kupitia sloti ya Mega Bunny Hyperways iliyotengenezwa na Game Art. Ndio, ni Meridianbet pekee, utakapoweza kupata Odds na Bonasi kubwa kwenye michezo ya kila aina. Shindano hili la kuvutia litapatikana kwenye Sloti ya Mega Bunny HyperWays kuanzia April 1, saa 6 kamili usiku mpaka Aprili 7, saa 5:59 usiku.

Namna Sloti ya Mega Bunny HyperWays Inavyofanya Kazi.

Wachezaji watashinda kwenye shindano na kupangwa kwenye orodha ya jumla. Mchezaji atapata pointi 1 kwa kila 2722tshs au pesa ya aina yeyote ambayo mchezaji ataiweka kwenye Mega Bunny HyperWays.

Wakati wa mchezo, mchezaji anaweza kushinda pointi za ziada, hii itategemea mchanganyiko wa ushindi na mafanikio mengine kwenye mchezo husika ambapo utapata pointi za ziada. Bashiri zilizowekwa kwa kutumia pesa halisi, ndizo zitakazotumika kwenye shindano.

Zawadi Zinazotolewa Kwenye Shindano Hili – Easter Mega Tournament.

Zawadi zinazotolewa kwenye shindano hili ni:

 • Nafasi ya 1 – 19,044,231.73 Tshs
 • Nafasi ya 2 – 10,882,418.13 Tshs
 • Nafasi ya 3 – 5,441,209.07 Tshs
 • Nafasi ya 4 – 2,720,604.53 Tshs
 • Nafasi ya 5 – 1,360,302.27 Tshs
 • Nafasi ya 6-15 – 544,261.08 Tshs
 • Nafasi ya 16-50 – 272,130.54 Tshs
 • Nafasi ya 51-90 – 136,065.27 Tshs
 • Nafasi ya 91 – 130 – 81,641.88 Tshs
 • Nafasi ya 131-190 – 54,427.92 Tshs
 • Nafasi ya 191-250 – 27,215.68 Tshs

Wachezaji wanaweza kuziona nafasi zao pamoja na zawadi walizopata kwenye shindano kwa kuangalia kwenye meza ya mchezo wa Mega Bunny HyperWays. Zawadi zitatolewa Aprili 9, saa 9 alasiri ambapo wachezaji wataarifiwa kwa kupatiwa ujumbe mfupi.

Vigezo na Masharti ya Shindano Hili.

Shindano hili linajulikana kama “network promotion”, hii inamaana kuwa – wachezaji wote wa kasino za mitandaoni zilizo na mchezo wa Mega Bunny HyperWays wanaweza kushiriki. Hakuna uthibitisho kuwa mchezaji yeyote wa Kasino ya Meridian atashinda zawadi yeyote.

Meridian wanahaki ya kuondoa ofa, kufuta matokeo ya shindano au kutotoa zawadi yeyote endapo itatokea sehemu ya/matokeo yote ya mchezaji yameathiriwa na tatizo la kimfumo (hii haijalishi kuwa tatizo limetokana na makosa ya kibinadamu wa mfumo wa kiufundi).

Meridian inahaki ya kusitisha promosheni kwa muda au moja kwa moja muda wowote au inapotokea udanganyifu/utapeli uliofanywa na wachezaji wengi. Vigezo na Masharti kuzingatiwa.

Meridianbet, Nyumba yenye Odd Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles