25.3 C
Dar es Salaam
Friday, January 3, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

FUJIMORI KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MAUAJI

LIMA, PERU


RAIS wa zamani wa Peru, Alberto Fujimori atafikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya mwaka 1992 licha ya kupata msamaha wa rais wa sasa, Pedro Pablo Kuczynski uliomtoa kifungoni.

Fujimori (79), alikuwa akitumikia kifungo cha miaka 25 kwa kosa la kuongoza kikosi cha mauaji kilichowaua watu waliokuwa wanaunga mkono wapiganaji wa chini kwa chini wa mrengo wa kushoto.

Alipewa msamaha mwishoni mwa Desemba mwaka jana kwa misingi ya udhaifu wa afya yake, hatua ambayo ilikosolewa vikali na makundi mbali mbali ya kutetea haki za binadamu ya kimataifa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles