27.7 C
Dar es Salaam
Wednesday, February 21, 2024

Contact us: [email protected]

Flora Mvungi: Umaarufu umenifikisha klabu

NA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo nchini, Flora Mvungi, ameweka wazi kwamba hasingefika kwenye kumbi za starehe kama asingekuwa maarufu.
Flora alisema kutokana na umaarufu wake alioupata kupitia sanaa ya uigizaji, alijikuta akilazimika kuzijua klabu za usiku tofauti na alivyokuwa akidhani kwamba angeweza kuwa maarufu bila kufika katika klabu hizo.
‘Nashukuru ustaa umenisaidia, kwani bila ya hivyo ningekuwa mama wa nyumbani ama kazi nyingine, lakini fani niliyoichagua imeniwezesha kufika huko kwa sababu ya kufanya shoo kupitia muziki wangu, uzinduzi wa filamu ama kumtazama mume wangu, H Baba akiwa jukwaani,” alifafanua Flora.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles