20.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, September 28, 2022

Fiston atua Ligi Kuu Morocco

Daines Msumeno,TUDARCo

Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, Fiston Abdulrazak amejiunga na Klabu ya Olympique Khouribga inayoshiriki Ligi Kuu nchini Morocco.

Fiston ambaye ni raia wa Burundi, alijiunga na Yanga kipindi cha usajili wa dirisha dogo msimu uliopita.

Mshambuliaji huyo aliachwa na Yanga baada ya mkataba wake wa miezi sita kumalizika kutokana na kushindwa kuonesha makali.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,097FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles