25.6 C
Dar es Salaam
Sunday, January 5, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

EPL, Serie A na Laliga ni mwendo mdundo

Zifuate Odds za Kibingwa Ukiwa na Meridianbet Wikiendi Hii!

Mashindano ya Ulaya yametamatika na sasa ni muda wa kuvipasha moto viwanja ndani ya Ligi mbalimbali barani Ulaya. Yaliyotokea kwenye Uefa, Europa na Conference League – tunayaacha nyuma na sasa ni muda wa kutengeneza pesa ndani ya EPL, Serie A na LaLiga.

Ijumaa hii, Newcastle United kuchuana na Leed United ndani ya St. James Park. Timu zote mbili hazijaondoka na pointi 3 kwenye michezo yao mitatu ya awali. Nini kitatokea zitakapokutana timu hizi? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.35 kwa Leeds.

Timu mbili zilizopanda daraja msimu huu, kuchuana jumamosi. Norwich vs Watford ndani ya dakika 90. Ile burudani tuliyoipata kwenye Championship, sasa tunaipata kwenye EPL. Ifuate Odds ya 2.17 kwa Norwich ndani ya Meridianbet.

Burnley kuwaalika Arsenal pale Turf Moor. Katika michezo 4 ya mwisho, Burnley kapoteza michezo 3 na kutoka sare mara 1. Arsenal wamepoteza michezo 3 na kushinda 1. Sasa zinakutana uso kwa uso, itakuaje? Mchongo upo kwenye Odds ya 2.10 kwa Arsenal ukiwa na Meridianbet.

Jumapili hii mambo yapo ndani ya Serie A! Juventus kupambana na AC Milan. Hizi ni timu kubwa kwenye soka la Italia na dunia kwa ujumla. Huu ni mchezo mkubwa kwa wikiendi hii na hakika, ukibashiri na Meridianbet, unaweza kutengeneza faida kubwa kupitia Odds ya 2.20 ukiifuata Juventus wikiendi hii.

Barcelona kuwaalika Granada pale Camp Nou. Bila kujali nani atashinda, zikutanapo timu hizi uhakika wa magoli ni kitu kinachowezekana. Tandaza jamvi lako na Meridianbet kwa kuifuata Odds ya 1.27 kwa Barcelona.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles