25.3 C
Dar es Salaam
Tuesday, May 24, 2022

Emmanuel Music wafunga mwaka na ‘Oui Et Amen’

Brisbane, Australia

KUNDI linalofanya muziki wa Injili nchini Australia, Emmanuel Music, limefunga mwaka na wimbo Oui Et Amen.

Akizungumza na Mtanzania Digital, Meneja wa kundi hilo lenye waimbaji 10, Happy Mbemba amesema wimbo Oui Et Amen unapatikana kwenye mitandao yote ya kusikiliza na kupakua muziki pamoja na channel yao ya YouTube.

“Video tayari imetoka ipo kwenye chaneli ya YouTube ya Emmanuel Music na tunaamini wimbo huu utawabariki watu wengi kutokana na ujumbe wake pamoja na vijana walivyoimba kwa ustadi mkubwa,” amesema meneja huyo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
192,139FollowersFollow
541,000SubscribersSubscribe

Latest Articles