28.7 C
Dar es Salaam
Thursday, June 13, 2024

Contact us: [email protected]

Drake kuhamia kwenye filamu

XXX 453940600.JPG E ACE ENT MUS USA NJNEW YORK, MAREKANI

NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Aubrey Graham ‘Drake’, amesema kwa sasa anatarajia kuhamia kwenye filamu badala ya muziki.

Msanii huyo, ambaye ameshika nafasi ya tatu duniani kwa wasanii wa hip hop ambao wameingiza fedha nyingi kutokana na muziki, alisema kwa sasa anaona bora akimbilie kufanya filamu badala ya muziki.

“Sitaki kupoteza muda, huu ni wakati wangu wa kufanya filamu, hakuna mtu aliyenishawishi kufanya uamuzi huo ila mimi mwenyewe.

“Filamu ni kitu ambacho ninakipenda hata kabla ya kuanza kufanya muziki, hivyo mwaka huu nitaanza kufanya filamu ili niweze kutimiza malengo yangu,” alisema Drake.

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles