HomeElimu na Teknolojia Elimu na TeknolojiaKitaifa Dk. Bakari ahimiza wananchi kutembelea Banda la TCRA maonesho ya Sabasaba By Mtanzania Digital July 5, 2022 0 1136 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Dk. Jabiri Bakari akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Ufunguzi wa Maonesho ya 46 ya Maonesho ya Biashara Kimataifa Sabasaba , jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk. Jabiri Bakari akisaini kitabu cha wageni katika banda la Mamlaka hiyo muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Viwanja vya Maonesho ya Biashara-SabaSaba barabara ya Kilwa, Temeke jijini Dar es Salaam. TCRA inashiriki Maonesho hayo kwa kutoa elimu kwa watumiaji huduma za Mawasiliano. Picha: TCRA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Dk. Jabiri Bakari (wa sita kushoto) katika picha ya pamoja na watumishi wa Mamlaka wanaotoa huduma za Mawasiliano kwenye viwanja vya maonesho ya 46 ya biashara SabaSaba jijini Dar es Salaam Wananchi wakiingia na kutoka kwenye banda la TCRA katika Maonesho ya Viwanda na Biashara katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam kupata elimu,huduma na msaada wa huduma za Mawasiliano. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleMajaliwa: Bilioni 54 zitajenga mradi wa maji Ruangwa, NachingweaNext articleWaziri Makamba: Wizara itasimamia miradi ya umeme nchini Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz/ Related Articles Uncategorized Ramovic awaita mashabiki uwanjani, anapenda kuitwa ‘Tanzanian Machine’ Kitaifa Rais Samia aweka Jiwe la Msingi ujenzi wa Msikiti Kitaifa Dk. Biteko asisitiza kupiga kura ni haki ya Kikatiba LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow591,000SubscribersSubscribe Latest Articles Uncategorized Ramovic awaita mashabiki uwanjani, anapenda kuitwa ‘Tanzanian Machine’ Kitaifa Rais Samia aweka Jiwe la Msingi ujenzi wa Msikiti Kitaifa Dk. Biteko asisitiza kupiga kura ni haki ya Kikatiba Michezo Kitaifa SACP Mahanga: Ulinzi viwanjani unahitaji ujasili Kanda ya Ziwa Hatuna huruma, tunabeba vyote-Dk. Biteko Load more