27.2 C
Dar es Salaam
Monday, March 20, 2023

Contact us: [email protected]

Dk. Bakari ahimiza wananchi kutembelea Banda la TCRA maonesho ya Sabasaba

Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Dk. Jabiri Bakari akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Ufunguzi wa Maonesho ya 46 ya Maonesho ya Biashara Kimataifa Sabasaba , jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk. Jabiri Bakari akisaini kitabu cha wageni katika banda la Mamlaka hiyo muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Viwanja vya Maonesho ya Biashara-SabaSaba barabara ya Kilwa, Temeke jijini Dar es Salaam. TCRA inashiriki Maonesho hayo kwa kutoa elimu kwa watumiaji huduma za Mawasiliano. Picha: TCRA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Dk. Jabiri Bakari (wa sita kushoto) katika picha ya pamoja na watumishi wa Mamlaka wanaotoa huduma za Mawasiliano kwenye viwanja vya maonesho ya 46 ya biashara SabaSaba jijini Dar es Salaam
Wananchi wakiingia na kutoka kwenye banda la TCRA katika Maonesho ya Viwanda na Biashara katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam kupata elimu,huduma na msaada wa huduma za Mawasiliano.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
210,784FollowersFollow
563,000SubscribersSubscribe

Latest Articles