27.9 C
Dar es Salaam
Thursday, March 28, 2024

Contact us: [email protected]

DC Ilala achagiza mbuzi wa sikukuu za Biko

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MKUU wa wilaya ya Ilala, Ng’wilabuzu Ndwata Ludigija, amechagiza utolewaji wa zawadi za mbuzi za sikukuu ya Christmass na Mwaka mpya zinazotolewa kwa wingi katika ushindi wa papo kwa hapo wa Bahati nasibu ya Biko, akisema zitapunguza makali ya maisha kwa Watanzania watakaofanikiwa kushinda kwenye droo hizo.

Ludigija aliyasema hayo wakati wa makabidhiano ya hundi ya Sh milioni 10 kwa, Mikidadi Kaimu Ngoo wa Chanika, wilayani Ilala, mkoani Dar es Salaam, aliyeshinda kwenye droo ya Jumapili na kuwa miongoni mwa Watanzania wengi wanaobukua mamilioni ya Biko, ambapo katika droo za papo kwa hapo, Sh laki mbili mbili zitamwagika kama sehemu ya ununuaji wa mbuzi za sikukuu za mwisho wa mwaka.

Mchezo wa biko unachezwa live mtandaoni kwa kuingia www.biko.co.tz bila kusahau wale wanaotumia njia ya kawaida kwa kucheza kwa namba ya Kampuni 505050 na kumbukumbu 2456 au neno biko, huku kianzio cha kucheza kikiwa Sh 1,000 na kuendelea.

Biko ni mchezo wa kubahatisha unaoongoza kutoa fedha nyingi kwa Watanzania, ambapo zwadi za papo kwa hapo zinatoka kila sekunde moja kuanzia Sh 2,500 hadi milioni 5 papo hapo bila kusahau kutoa zawadi ya hadi sh milioni 40 kila Jumapili ambapo mbali na kucheza kwa namba ya Kampuni 505050 na kumbukumbu 2456, pia watu wanaweza kucheza live kwa kuingia www.biko.co.tz.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles