26.7 C
Dar es Salaam
Saturday, February 24, 2024

Contact us: [email protected]

DAWASA yafungua ofisi Kibamba

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) imefugua ofisi mpya Kibamba jijini Dar Salaam kwa ajili ya kuhudumia wakazi wa maeneo hayo.

Taarifa iliyotolewa na DAWASA imesema kuwa ofisi hiyo mpya itasaidia kutoa huduma kwa kata zaidi ya tatu na hivyo kuwaondolea adha ya huduma.

Ofisi mpya za DAWASA Kibamba

“Ofisi hii mpya ya kihuduma DAWASA Kibamba imefunguliwa rasmi na Wananchi wanakaribishwa kupata huduma. Ofisi hii mpya wa inatoa huduma katika kata za Mbezi mtaa wa Mshikamano, Kwembe, Kibamba na Kiluvya.

“Wapendwa wateja wetu, tumesogeza huduma karibu yako ili tukuhudumie vizuri zaidi. Ofisi ya DAWASA Kibamba ipo eneo la Luguruni mkabala na Ofisi ya Manispaaa ya Ubungo,” imesema taarifa hiyo ya Dawasa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles