25.5 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 11, 2024

Contact us: [email protected]

Davina: Mashabiki nikosoeni

dvinaNA SHARIFA MMASI

MWIGIZAJI mahiri wa filamu nchini, Halima Yahya ‘Davina’, amejitokeza na kuwataka mashabiki wake wamkosoe kila wanapoona anacheza tofauti na wanavyotaka katika filamu anazoigiza.

“Mkinikosoa ndiyo nitajifunza kufanya vema zaidi hadi nitafikia kiwango cha kimataifa lakini mkiniacha hamtanisaidia, napenda kujifunza na siwezi kujifunza bila kukosolewa,’’ alisema Davina.

Davina aliwataka wasanii wenzake wakubali kukosolewa kama yeye kwa kuwa hakuna aliyemkamilifu na lengo kubwa ni kujijenga kisanii.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles