23.3 C
Dar es Salaam
Friday, May 27, 2022

Cyrill: Nasubiri uchaguzi upite

CYILLNA CHRISTOPHER MSEKENA

UCHAGUZI mkuu wa rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, umepunguza kasi ya wasanii wa sanaa mbalimbali kutoa kazi zao kutokana na upepo wa kisiasa kuchukua nafasi kubwa.

Msanii kutoka Singida, Cyrill Kamikaze, ni mmoja wao licha ya kukamilisha uandaaji wa wimbo wake mpya, lakini anashindwa kuutoa kwa sasa kutokana na harakati za siasa zilivyopamba moto.

“Sio mimi tu, wasanii wengi wapo kimya kwa sababu ya uchaguzi, kwa upande wangu nasubiri uchaguzi upite ndiyo niachie wimbo mpya, nadhani utakuwa muda sahihi na wimbo utafanya vizuri kwa kuwa harakati za kisiasa zitakuwa zimepita,” alisema Cyrill, ambaye ni mkali wa ‘Nikikuona’.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
192,437FollowersFollow
541,000SubscribersSubscribe

Latest Articles