23.8 C
Dar es Salaam
Monday, September 25, 2023

Contact us: [email protected]

MC Simon awaponda mastaa wa Bongo Movie

MC SimonNA SHARIFA MMASI

MSHEREHESHAJI mahiri nchini, Simon Mbwana, maarufu kwa jina la MC Simon, amewatupia lawama waandaaji na watunzi wa filamu za kibongo nchini kwamba hawana upeo mpana katika utunzi wao.

Alisema katika filamu yake anayotarajia kuiachia muda wowote ikikamilika itaonyesha mfano wa kuigwa na wakongwe hao katika utunzi na uchezaji anaoamini utaondoa pengo kubwa lililopo katika utunzi wa hadithi za tamthilia za kibongo.

“Tanzania ipo nyuma kimaendeleo katika filamu kwa kuwa si wabunifu katika utunzi wa hadithi za filamu na ndiyo maana tunakosa soko la kimataifa,” alisema MC Simon.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,718FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles