27.1 C
Dar es Salaam
Monday, March 4, 2024

Contact us: [email protected]

Coman afanyiwa upasuaji wa moyo

WINGA wa Bayern Munich, Kingsley Coman, amefanyiwa upasuaji mdogo wa moyo, kwa mujibu wa kocha wake, Julian Nagelsmann.

Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 25, anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili baada ya kufanyiwa upasuaji huo.

Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari, Nagelsmann amesema: “Kingsley Coman amefanyiwa upasuaji jana. Mapigo ya moyo yalikuwa na shida kidogo. Kuna muda alikuwa akipata tabu kupumua.”

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles