25.2 C
Dar es Salaam
Sunday, December 1, 2024

Contact us: [email protected]

CITL kuhamasisha vijana fursa za masoko duniani

Ferdinanda Mbamila, Dar es Salaam

Idara ya mafunzo kupitia mafunzo ya financial freedom (CITL), wameandaa bonanza kwa lengo la kuwakutanisha vijana kwa kutumia michezo mbali mbali ili kuwahamasisha na kutambua fursa mbali mbali zinazotokana na masoko makubwa duniani.

 Akizungumza jijini dar es salaam Mkuu wa idara ya mafunzo CITL Nicholaus Mwakyonde amesema, bonanza litaanza tarehe 28 mwezi wa tisa  katika vijawanja vya ustawai wa jamii kuanzia asubuhi likiwa na lengo la kuwakutanisha vijana na masoko makubwa duniani ikiwemo soko la hisa, masoko ya forex, , masoko ya bidhaa duniani na masoko ya vito duniani.

Nicholaus amesema bado kuna changamoto kubwa ya elimu kwa vijana juu ya  namna  ya kutunza fedha na matumizi sahihi ya fedha, hivyo wameamua kuwafundisha vijana namna ya kutafuta vipato na matumizi yake sahihi kwa kutumia bonanza.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles