Chadema yaita mameya wake wa mkoa wa Dar.

0
636

13876260_1059593314094578_913095196427276378_n

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewaita mameya wake wa mkoa wa Dar es Salaam kufuatia sakata la kupandisha tozo la kupaki magari jijini dar.

Uongozi wa juu wa chama hiko umeagiza mameya wake kufika makao makuu ya chama hicho kwa majadiliano. Chanzo cha habari hii kinadai kuwa mameya hao hawakutoa taarifa ya jambo hili zito na nyeti kwenye chama chao na inaelezwa pia kuna uwepo wa kuliamua jambo hilo kwa makusudi bila kupima athari yake kisiasa.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here