24.5 C
Dar es Salaam
Thursday, May 23, 2024

Contact us: [email protected]

Bobby Brown achoshwa na hali ya Kristina

bobby-brown-bobbi-kristinaNA BADI MCHOMOLO
BAADA ya Kristina Brown kukaa hospitali kwa muda wa siku 73 tangu aanguke bafuni Januari 31 mwaka huu, baba yake, Bobby Brown, ameonekana kukata tamaa ya kupona kwa binti yake huyo.
Kristina bado anaishi kwa kutegemea nguvu ya mashine, lakini hata hivyo hali yake haileti matumaini tangu alipopelekwa hospitalini.
“Mpaka sasa hatujui nini kitatokea kwa mtoto wetu, tumemkabidhi Mungu kila kitu kwa kuwa yeye ndiye mwenye maamuzi ya mwisho katika kila jambo.”
Mbali na Bobby Brown kuchoshwa na hali ya mtoto wake, pia bibi yake Kristina, Cissy Houston, naye alishawahi kutamka kuchoshwa na kutobadilika kwa hali ya binti yake huyo huku akidai kwamba hahofii kifo cha binti huyo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles