26.9 C
Dar es Salaam
Tuesday, December 5, 2023

Contact us: [email protected]

Jokate Mwegelo: Wasanii wa nje wameendeleza vipaji vyetu

JOKATENA JENNIFER ULLEMBO
MWANAMITINDO Jokate Mwegelo ‘Jojo’, ameweka wazi kwamba tabia ya kuwashirikisha wasanii maarufu kutoka nje ya nchi katika baadhi ya nyimbo za wasanii wa ndani kumeinua na kuendeleza vipaji vya wanamuziki wa Tanzania.
Jokate alisema hali hiyo ndiyo iliyomsukuma aendelee kuwashirikisha wasanii wa nje katika muziki anaofanya ili akuze kipaji na kutanua soko la muziki wake.
“Jina langu limepiga hatua kubwa katika masuala ya mitindo na ubunifu, hivyo nataka nijulikane zaidi na kwenye muziki, ndiyo maana kwa sasa nguvu zangu nazielekeza huku, tofauti na kwenye mitindo,’’ alijinadi Jokate, anayetamba na wimbo wa ‘Leo’ aliomshirikisha msanii wa Nigeria, Ice Prince.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles