26.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, April 17, 2024

Contact us: [email protected]

BIFU LA KANYE, JAY Z CHANZO ‘DEMU’ TU

LAS VEGAS, MarekaniMTANDAO wa Gossip Cop ambao ni maarufu kwa habari za mastaa, umefichua kilichosababisha uadui uliopo sasa kati ya Kanye West na rafiki yake wa zamani, Jay Z.

Gossip Cop umesema Kanye anaamini kuwa Jay Z na mkewe, Beyonce, hawamheshimu mama watoto wake, Kim Kardashian.

“Hilo linamchanganya sana Kanye, kuona Beyonce anamchukulia poa Kim na kumwona si anayefaa kuwa rafiki yao.

“Kama Beyonce na Jay Z, hawatakuwa tayari kumfanya Kim kuwa rafiki yao, basi hata yeye atawapotezea.
Vyanzo hivyo vilitolea mfano tukio la wiki iliyopita la Beyonce na Kardashian kuonekana kuwa karibu katika party ya ndoa ya staa wa tenisi, Serena Williams.

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles