25.2 C
Dar es Salaam
Thursday, April 25, 2024

Contact us: [email protected]

Ben Pol kuburudisha Nyama Choma kesho

Ben PolNA GLORY MLAY,

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Ben Pol anayetamba na wimbo wake wa Moyo mashine, anatarajia kutoa burudani katika Tamasha la Nyama Choma litakalofanyika kesho katika viwanja vya Leaders Club, Dar es Salaam.

Akizungumza jana, Mkuu wa Masuala ya Dijitali wa Tigo, Paulina Shao, alisema Tigo imekuwa ikiwapa moyo wasanii wa ndani ili kuhakikisha wanawezeshwa  kufikia viwango vya juu katika kazi zao.

“Tigo inatambua mchango wa wasanii wa Tanzania wanaoutoa katika sekta ya burudani ndio maana tumewekeza kwa kiwango kikubwa  kuwasaidia kwa kutumia majukwaa ya kidijitali yanayokuwepo na kushiriki matukio mbalimbali na hivyo kuongeza  mauzo ya muziki wao pamoja na nembo zao,” alisema Shao.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles