30.2 C
Dar es Salaam
Thursday, May 23, 2024

Contact us: [email protected]

Babu Tale afiwa na baba yake mzazi

babu taleBABA mzazi wa Babu Tale ambaye ni meneja wa Abdul Nassib ‘Diamond’, amefariki dunia mchana wa jana Manzese jijini Dar es Salaam.
Kifo hicho kimetokea ikiwa ni miezi kadhaa tu tangu kaka wa Babu Tale, Abdu Bonge kufariki dunia.
Msanii wa kundi hilo, Madee alithibitisha kutokea kwa kifo hicho huku akieleza kwamba msiba utakuwa nyumbani kwao Manzese ambako palifanyika msiba wa Abdu Bonge.
“Ni kweli baba wa Abdu Bonge amefariki leo (jana) na msiba upo Manzese jijini Dar es Salaam ila chanzo cha kifo bado hatujajua,’’ alisema Madee huku wasanii mbalimbali wakituma salamu za pole kwa wafiwa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles