30.4 C
Dar es Salaam
Monday, December 16, 2024

Contact us: [email protected]

Azam Media yatambulisha tamthilia ya Jeraha

Na Beatrice Kaiza, Mtanzania Digital

AZAM Media kupitia chaneli yake ya Sinema Zetu imezindua Tamthilia ya ‘Jeraha’ itakayoanza kuruka hivi karibuni.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 20, 2023 Mkuu wa Programming wa Azama Media, Fatma Mohamed amesema katika tamthilia hiyo ya Jeraha wametayarisha kitu bora ambacho kitaleta furaha na burudani kwa jamii.

“Nina uhakika tulichokipika watazamaji wa Sinema Zetu 103 wakae mkao wa kula kwani Jeraha itakuwa tamthilia bora zaidi,” amesema Fatma.

Mmoja wa waigizaji katika Tamthilia hiyo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amesema wamejipanga kutoa kazi nzuri kwa mashabiki wao kupitia Jeraha.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles