25.5 C
Dar es Salaam
Thursday, December 12, 2024

Contact us: [email protected]

Afrika kusini yapiga marufuku uuzaji wa Pombe

-Afrika kusini

Rais wa Afrika kusini, Cyril Ramaphosa amepiga marufuku uuzaji wa pombe kuelekea kipindi cha sikukuu ya pasaka dhidi ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa Corona.

Marufuku hayo yametolewa kwa watu wanaotumia vilevi majumbani kwao kwa kutojali sheria na kanuni za zilizowekwa na serikali ya taifa hilo.

Rais Cyril Ramaphosa alisema mikusanyiko ya kidini inayofanyika katika majengo ya ibada imedhibitiwa kwa asilimia 50 huku baa Pamoja na migahawa huenda ikaruhusiwa kufanya biashara za vinywaji.

Maambukizi ya Virusi vya corona yamepungua nchini Afrika kusini baada ya wimbi la pili la maambukizi kupanda mwezi Januari.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles