24.8 C
Dar es Salaam
Thursday, October 31, 2024

Contact us: [email protected]

DOGO MFAUME AFARIKI DUNIA

Na MWANDISHI WETU,

MSANII wa muziki wa Mchiriku, Dogo Mfaume aliyewahi kuwika na wimbo wa 'Kazi ya Dukani', amefariki dunia jana jijini Dar es Salaam.

Dogo Mfaume alikuwa akipatiwa matibabu ya kuondokana na matumizi ya dawa za kulevya katika Kituo cha Pilli Missana Foundation kilichopo Kigamboni.

Mkurugenzi wa kituo hicho, Pili Missana, alisema msanii huyo alikuwa akisumbuliwa na uvimbe kichwani uliotarajiwa kufanyiwa upasuaji kesho.

Kabla ya siku ya upasuaji amefariki dunia. Mungu amlaze mahali pema peponi Dogo Mfaume.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles