Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS Dk. John Magufuli, ameteua makatibu tawala wa wilaya huku sura mpya za vijana zikiibuka katika uteuzi huo.
Hatua hiyo inaelekea kukamilisha safu za uteuzi kwa kubakisha wakurugenzi watendaji wa halmashauri nchini.
Taarifa iliyotolewa jana   na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora,   Angellah Kairuki.
Aliwataja walioteuliwa  kwa Mkoa wa Arusha  kuwa ni David Mwakiposa (Arusha), Adam H. Mzee (Arumeru), Abas Kayanda (Karatu), Amos Siyantemi (Monduli), Lamuel Kileo (Ngorongoro) na Toba Nguvila (Longido).
Dar es Salaam
Edward Mpogoro (Ilala), Omary Mhando (Kigamboni), Mtela Mwampamba (Ubungo), Hashimu Komba (Temeke) Â Â Â na Gifti Msuya (Konondoni).
Dodoma
Kasilda Mlimila (Bahi), Athanas Kubuyanja (Mpwapwa), Juliana Kilasara (Chamwino), Audiphace Mushi (Kongwa), Winnie Kijazi (Kondoa), Jasinta Mboneko (Dodoma), Â Ally Nyakia (Chemba.
Geita
Thomas Dime (Geita), Paul Cheyo (Bukombe), Elias Makory (Chato), Reuben Mwelezi (Nyang’wale),   Christopher Bahali (Mbogwe).
Iringa
Allan Mwela (Mufindi), Joseph Chitika (Iringa) na Yussuph Msawanga (Kilolo).
Katavi
Ephras Tenganamba (Mlele), Mahija Nyembo (Mpanda na Mwashitete Geogrey (Tanganyika).
Kagera
Gread Ndyamukana (Bukoba), Joel Mwakabibi (Biharamulo), Josephat Tibaijuka (Ngara), Mwakasyege Richard (Misenyi), Weja Ng’olo (Karangwe)   na Haji Godigodi (Kyerwa).
Kigoma
Muguha Muguha (Kasulu), Kwame Daftari (Kigoma), Ayubu Sebabili (Kibondo), Zainab Marango (Uvinza), Â Peter Masindi (Buhingwe).
Kilimanjaro
Heri James (Hai), Abubakar Assenga (Rombo), Mabenga Magonera (Same), Yusufu Kasuka (Mwanga na Leonard Maufi (Moshi).
Lindi
Thomas Safari (Lindi), Lameck Lusesa (Liwale), Athanas Hongoli (Kilwa), Husna Sekiboko (Nachingwea) na Twaha Mpembenwe (Ruangwa).
Manyara
Ndaki Mhuli (Kiteto), Zewena Omary (Simanjiro), Mkumbo Barnarbas (Hanang’), Cade Mshamu (Babati) na Samuel Gunzar (Mbulu).
Mara
Justin Manko (Musoma), Masalu Kisalika (Bunda), John Mahinya (Tarime), Cosmas Qamar (Serengeti) Mirumbe Daud (Rorya) na Credo Lugalila (Butiama).
Mbeya
Anold Mkwawa (Mbeya), Moses Mashaka (Rungwe), Ezekia Kilemile (Mbarali), Sostenes Mayoka (Chunya), Godfrey Kawacha (Kyela).
Morogoro
Alfred Shayo (Morogoro), Michael Maganga (Mvomero), Stanlaus Nyanga (Kilosa), Linno Mwageni (Kilombero), Anraham Mwaikwila (Ulanga ) na Adam Bibangamba (Gairo).
Mtwara
Teoford Ndomba (Mtwara), Benaya Kapinga (Masasi), Azizi Fakil (Tandahimba), Newala (wazi), Michael Matomola (Nanyumbu).
Mwanza
Kazeri Japhet (Misungwi), Solomon Ngilule (Magu), Andrea Ng’hwani (Kwimba), Allan Muhina (Sengerema), Yonas Alfred (Nyamagana), Focus Majumbi (Ukerewe) na Tryphone Mkorokoti (Ilemela).
Njombe
Joseph Chota (Njombe), Makete (wazi), Stephen Ulaya (Ludewa) na Edward Manga (Wanging’ombe).
Pwani
Erica Yegella (Bagamoyo), Sozi Ngale (Kibaha), Kisarawe (wazi), Gilbert Sandagila (Mafia), Severine Laika (Mkuranga) na Maria Katemana (Rufiji).
Rukwa
Festo Chonya (Nkasi), Christina Nzera (Sumbawanga), Juma Seph (Kalambo).
Ruvuma
Aden Nchimbi (Namtumbo), Gilbert Sinya (Mbinga), Ghaibu Lingo (Tunduru), Pendo Daniel (Songea) na Richard Mwambe (Nyasa).
Simiyu
Albert Rutaihwa (Bariadi), Rutaremwa Rutagumirwa (Maswa), Chele Ndaki (Meatu), Helman Tesha (Itilima) na Sebastian Masanja (Busega).
Shinyanga
Timith Ndaya (Kahama), Shadrack Kengese (Kishapu), Boniface Chambi (Shinyanga).
Singida
Pius Sangoma (Iramba), Deusdedith Duncum (Manyoni), Wilson Shimo (Singida), Flora Yongolo (Ikungi) na Omar Kipanga (Mkalama).
Songwe
Johari Samizi (Songwe), Mary Marco (Ileje), Tusibitege Tengeta (Mbozi) na Mathias Felix (Momba).
Tabora
Sweetbert Nkuba (Tabora), Moses Pesha (Uyui), Paschal Byemelwa (Urambo), Godslove Kawiche (Igunga), Onesmo Kisoka (Nzega), Renatus Mahimbali (Sikonge) na Jones Likuda (Kaliua).
Tanga
Veronica Kinyemi (Lushoto), Maelagrace Kallega (Korongwe), John Mahali (Handeni), Faiza Salim (Tanga), Dessderia Haule (Muheza), Ebene Mabuga (Pangani), Joseph Sura (Mkinga) Â Â Philis Nyimbi (Kilindi)
Waziri alisema makatibu tawala hao wapya ukiacha wale wanaoendelea na nyadhifa zao, wametakiwa kufika Utumishi wakiwa na wasifu   na nakala za vyeti vyao.