Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital
Wanawake kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wametembelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan katika kutangaza utalii, fursa za biashara na uwekezaji na pamoja na kuadhimisha siku ya Wanawake Dunian Machi 9, 2024.
Wanawake kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakipata elimu juu ya mnyama boko na mamba kutoka kwa Askari wa Shirika la Hifadhi la Taifa (TANAPA), Agusti Chuwa, walipotembelea Bwawa la Boko lililopo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan katika kutangaza utalii, fursa za biashara na uwekezaji na pamoja na kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani Machi 9, 2024.
Wanawake kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakiwa ndani ya treni ya Shirika la Reli-TAZARA wakielekea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, katika kutangaza utalii, fursa za biashara na uwekezaji pamoja na kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani Machi 9, 2024.
Wanawake kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakiwa katika picha ya pamoja na madereva wanawake wa treni (locomotive driver) kutoka Shirika la Reli-TAZARA baada ya kuwasili katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan katika kutangaza utalii, fursa za biashara na uwekezaji na pamoja na kuadhimisha siku ya Wanawake Dunian Machi 9, 2024.