24.7 C
Dar es Salaam
Tuesday, December 17, 2024

Contact us: [email protected]

Bado hatujamaliza ndio kwanza ligi zimeanza, mikeka yako inasomaje?

Ligi mbalimbali zinaendelea tena wiki hii, na meridianbettz bado kuna pesa za kutosha kukupatia wewe mshindi.

EPL bado ni ya moto sana wiki hii tutashuhudia mechi nyingi zikipigwa viwanja tofauti. Jummane hii Southampton waliotoka kupoteza mechi iliyopita watakipiga na Chelsea ambao wametoka kushinda mechi iliyopita. Meridianbet wameipa nafasi kubwa ya ushindi Soton kwa odds ya 5.09, bashiri sasa ushinde.

Jumatano ndiyo usipime mabingwa watetezi wa EPL watakuwa nyumbani kucheza na Nottingham Forest timu iliyosajili zaidi kuliko timu yeyote ikiwa imesajili wachezaji 18 mpaka. Je nani unamtabiria ushindi kwenye mechi hii? Weka utabiri wako hapa meridianbettz.

Jurgen Klopp atahitaji kuendeleza ubabe wake mbele ya NewCastle ambapo mechi itapigwa Anfield saa 22:00 pm, mechi inapewa odds kubwa na kuna machaguo 1000+ hapa meridianbet

Arsenal watakuwa na kazi ya kuhakikisha wanabaki kileleni mwa msimamo wa Ligi pale watakapovaana na Aston Villa, huku Bournemouth walitoka kupigwa bao 9 watahitaji kufuta machungu dhidi ya Wolves. mechi hizi zote ni za ushindi bashiri ukiwa na meridianbet.

kule kwenye Serie A Juventus atakipiga dhidi ya Spezia majira ya saa 21:45 pm. Na Napoli atamkaribisha Lecce kwenye dimba la Diego Armando Maradona saa 21:45 pm

Hatujamalizaa, kuna Ligue 1 nako kumewakaa, Psg atakuwa ugenini kukipiga na Toulouse waliopo nafasi ya 10, huku Lille watakipiga na Nice. Hujajchelewa bado shusha mkeka wako sasa na odds za kijanja kutoka meridianbet, bashiri kupitia https://meridianbet.co.tz

Usikwame kama mzuka wa soka haupandi, bado unaweza kucheza michezo kibao ya kasino mtandaoni na Meridianbet. Jiweke kwenye nafasi kubwa ya kushinda Jackpot na zawadi kibao, zikiwemo simu, bonasi, na mizunguko kibao ya bure. Ingia mchezoni na ufurahie michezo ya kasino ya mtandaoni sasa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles