26.9 C
Dar es Salaam
Friday, January 3, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Picha: NMB yawapiga tafu akina mama wanaojihusisha na kilimo cha Mwani Zanzibar

Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi akipokea mfano wa hundi ya Sh Millioni thelathini kwa niaba ya Zanzibar Maisha Bora Foundation kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna. Fedha hizo zinalenga kusaidia akina mama hususan wale wanaojihusisha na kilimo cha Mwani na chumvi.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles