Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi akipokea mfano wa hundi ya Sh Millioni thelathini kwa niaba ya Zanzibar Maisha Bora Foundation kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna. Fedha hizo zinalenga kusaidia akina mama hususan wale wanaojihusisha na kilimo cha Mwani na chumvi.